Makusudio ya kupambana jihaad ni kuwapiga vita makafiri, waislamu wenye kudhulumu na Khawaarij. Tunawapiga vita watu hawa tukiwa pamoja na viongozi wa waislamu. Tunawapiga waislamu madhalimu kutokana na dhuluma yao na sio kwa ajili ni makafiri:
وَإِن طَائِفَتَانِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ اقْتَتَلُوا فَأَصْلِحُوا بَيْنَهُمَا ۖ فَإِن بَغَتْ إِحْدَاهُمَا عَلَى الْأُخْرَىٰ فَقَاتِلُوا الَّتِي تَبْغِي حَتَّىٰ تَفِيءَ إِلَىٰ أَمْرِ اللَّـهِ
“Ikiwa makundi mawili ya waumini yakipigana, basi suluhisheni baina yao. Lakini moja wapo likikandamiza jengine, basi piganeni na ambalo linakandamiza mpaka lielemee kwenye amri ya Allaah.”[1]
Kuwapiga vita makafiri ni kwa ajili ya kueneza Tawhiyd na kutokomeza mbali shirki.
Kuna sampuli mbili za Jihaad:
1 – Jihaad ya kujitetea. Hapa ni pale ambapo waislamu ni wanyonge. Pindi adui atapovamia miji yao, basi wanalazimika kuwapiga vita. Ni lazima kwa kila ambaye amebeba silaha kuwapiga ili kumzuia adui kutokamana na ardhi yao.
2 – Jihaad ya mashambulizi. Hapa ni pale ambapo waislamu wako na nguvu. Katika hali hiyo wanatakiwa kuwapiga vita maadui katika miji yao na kuwalingania kwa Allaah. Wakiitikia, ni vyema, vinginevyo watatakiwa kuwapiga vita ili walinyanyue juu neno la Allaah:
وَقَاتِلُوهُمْ حَتَّى لاَ تَكُونَ فِتْنَةٌ وَيَكُونَ الدِّينُ لِلّهِ
“Piganeni nao mpaka kusiweko shirki na dini yote iwe kwa ajili ya Allaah pekee.”[2]
[1] 49:9
[2] 08:39
- Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Mfasiri: Firqatunnajia.com
- Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 188-189
- Imechapishwa: 08/12/2024
Makusudio ya kupambana jihaad ni kuwapiga vita makafiri, waislamu wenye kudhulumu na Khawaarij. Tunawapiga vita watu hawa tukiwa pamoja na viongozi wa waislamu. Tunawapiga waislamu madhalimu kutokana na dhuluma yao na sio kwa ajili ni makafiri:
وَإِن طَائِفَتَانِ مِنَ الْمُؤْمِنِينَ اقْتَتَلُوا فَأَصْلِحُوا بَيْنَهُمَا ۖ فَإِن بَغَتْ إِحْدَاهُمَا عَلَى الْأُخْرَىٰ فَقَاتِلُوا الَّتِي تَبْغِي حَتَّىٰ تَفِيءَ إِلَىٰ أَمْرِ اللَّـهِ
“Ikiwa makundi mawili ya waumini yakipigana, basi suluhisheni baina yao. Lakini moja wapo likikandamiza jengine, basi piganeni na ambalo linakandamiza mpaka lielemee kwenye amri ya Allaah.”[1]
Kuwapiga vita makafiri ni kwa ajili ya kueneza Tawhiyd na kutokomeza mbali shirki.
Kuna sampuli mbili za Jihaad:
1 – Jihaad ya kujitetea. Hapa ni pale ambapo waislamu ni wanyonge. Pindi adui atapovamia miji yao, basi wanalazimika kuwapiga vita. Ni lazima kwa kila ambaye amebeba silaha kuwapiga ili kumzuia adui kutokamana na ardhi yao.
2 – Jihaad ya mashambulizi. Hapa ni pale ambapo waislamu wako na nguvu. Katika hali hiyo wanatakiwa kuwapiga vita maadui katika miji yao na kuwalingania kwa Allaah. Wakiitikia, ni vyema, vinginevyo watatakiwa kuwapiga vita ili walinyanyue juu neno la Allaah:
وَقَاتِلُوهُمْ حَتَّى لاَ تَكُونَ فِتْنَةٌ وَيَكُونَ الدِّينُ لِلّهِ
“Piganeni nao mpaka kusiweko shirki na dini yote iwe kwa ajili ya Allaah pekee.”[2]
[1] 49:9
[2] 08:39
Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Mfasiri: Firqatunnajia.com
Marejeo: at-Ta´liyqaat al-Mukhtaswarah ´alaal-´Aqiydah at-Twahaawiyyah, uk. 188-189
Imechapishwa: 08/12/2024
https://firqatunnajia.com/173-aina-mbili-ya-jihaad/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)