Swali 17: Wahy ulikoma kwa muda kiasi gani? Kipi cha kwanza alichoteremshiwa baada ya hapo?

Jibu: Kwa mujibu wa Ibn Ishaaq ilikuwa miaka mitatu. Kitu cha kwanza alichoteremshiwa baada ya hapo ilikuwa:

يَا أَيُّهَا الْمُدَّثِّرُ

”Ee uliyejigubika!”[1]

Halafu kukateremshwa al-Faatihah. Baada ya hapo wahy ukaanza kushushwa mara kwa mara.

[1] 74:01

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 95-96
  • Imechapishwa: 13/09/2023