32 – Sulaymaan bin ´Abdir-Rahmaan ad-Dimashqiy ametuhadithia: Sulaymaan bin ´Utbah ametuhadithia: Yuunus bin Maysarah ametuhadithia, kutoka kwa Abu Idriys al-Khawlaaniy, kutoka kwa Abud-Dardaa’, kutoka kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam), aliyesema:

”Hatoingia Peponi mwenye kuwaasi wazazi, chapombe wala anayekadhibisha makadirio.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl al-Bukhaariy (a.f.k 256)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Birr-ul-Waalidayn, uk. 129
  • Imechapishwa: 08/01/2025