Swali 15: Je, josho la janaba linatosheleza kutokamana na josho la ijumaa[1]?

Jibu: Ikiwa ni wakati wa mchana kunamtosha. Bora ni anuie yote mawili; josho la ijumaa na josho la janaba. Kwa njia hiyo atakuwa amepata fadhilah za josho la ijumaa – Allaah akitaka.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (12/406).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam Swalaat-il-Jumu´ah wal-Jamaa´ah, uk. 54
  • Imechapishwa: 27/11/2021