15. Haki ya mirathi inaanguka kwa ukafiri na kuritadi

2- Haki ya kurithi inaanguka.

Kafiri hawarithi ndugu zake waislamu na kwa sababu kafiri hamrithi muislamu na wala muislamu hamrithi kafiri. Usaamah bin Zayd (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Muislamu hamrithi kafiri na wala kafiri hamrithi muislamu.”[1]

[1] al-Bukhaariy (6764) na Muslim (1614).

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Hukm Taarik-is-Swalaah, uk. 17
  • Imechapishwa: 22/10/2016