16. Kuingia Makkah kumeharamishwa kwa sababu ya ukafiri na kuritadi

3- Ni haramu kuingia Makkah.

Allaah (Ta´ala) amesema:

يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا إِنَّمَا الْمُشْرِكُونَ نَجَسٌ فَلَا يَقْرَبُوا الْمَسْجِدَ الْحَرَامَ بَعْدَ عَامِهِمْ هَـٰذَا

“Enyi mlioamini! Hakika washirikiana ni najisi, basi wasikaribie al-Masjid al-Haraam baada ya mwaka wao huu.”[1]

[1] 09:28

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Hukm Taarik-is-Swalaah, uk. 17
  • Imechapishwa: 22/10/2016