247 – ´Uqbah bin ´Aamir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
يَعجَبُ ربُّك من راعي غنمٍ في رأس شَظيَّةٍ للجبلِ، يُؤذِّن بالصلاةِ، ويصلّي، فيقول الله عز وجل: انظروا إلى عبدي هذا يؤذِّنُ ويقيمُ الصلاة، يخافُ مني؛ قد غفرتُ لعبدي، وأدخلتُه الجنةَ
“Mola Wako anashangazwa na mchungaji wa mbuzi ambaye yuko juu ya mwamba wa jibali ambaye anaadhini kwa ajili ya swalah na anaswali. Allaah (´Azza wa Jall) anasema: “Mtazame mja wangu! Anaadhini, nakimu swalah na ananiogopa. Nimemsamehe mja wangu na nimemwingiza Peponi.”
Ameipokea Abu Daawuud na an-Nasaa´iy.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/218)
- Imechapishwa: 02/03/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
247 – ´Uqbah bin ´Aamir (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza kwamba amemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema:
يَعجَبُ ربُّك من راعي غنمٍ في رأس شَظيَّةٍ للجبلِ، يُؤذِّن بالصلاةِ، ويصلّي، فيقول الله عز وجل: انظروا إلى عبدي هذا يؤذِّنُ ويقيمُ الصلاة، يخافُ مني؛ قد غفرتُ لعبدي، وأدخلتُه الجنةَ
“Mola Wako anashangazwa na mchungaji wa mbuzi ambaye yuko juu ya mwamba wa jibali ambaye anaadhini kwa ajili ya swalah na anaswali. Allaah (´Azza wa Jall) anasema: “Mtazame mja wangu! Anaadhini, nakimu swalah na ananiogopa. Nimemsamehe mja wangu na nimemwingiza Peponi.”
Ameipokea Abu Daawuud na an-Nasaa´iy.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/218)
Imechapishwa: 02/03/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/15-hadiyth-mola-wako-anashangazwa-na-mchungaji-wa-mbuzi/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)