248 – Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من أذن اثْنتيْ عشرةَ سنة، وجبتْ له الجنةُ، وكُتِبَ له بتأذينه في كل يوم ستون حسنةَ، وبكل إقامةٍ ثلاثون حسنةً
“Yule atakayeadhini kwa miaka kumi na mbili, basi imemthubutikia kwake Pepo. Kila siku anayoadhini anaandikiwa thawabu sitini kwa adhaana yake na thawabu thelathini kwa kila Iqaamah.”
Ameipokea Ibn Maajah, ad-Daaraqutwniy na al-Haakim ambaye amesema:
“Swahiyh juu ya sharti za al-Bukhaariy.”
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/218)
- Imechapishwa: 02/03/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
248 – Ibn ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
من أذن اثْنتيْ عشرةَ سنة، وجبتْ له الجنةُ، وكُتِبَ له بتأذينه في كل يوم ستون حسنةَ، وبكل إقامةٍ ثلاثون حسنةً
“Yule atakayeadhini kwa miaka kumi na mbili, basi imemthubutikia kwake Pepo. Kila siku anayoadhini anaandikiwa thawabu sitini kwa adhaana yake na thawabu thelathini kwa kila Iqaamah.”
Ameipokea Ibn Maajah, ad-Daaraqutwniy na al-Haakim ambaye amesema:
“Swahiyh juu ya sharti za al-Bukhaariy.”
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/218)
Imechapishwa: 02/03/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/16-hadiyth-yule-atakayeadhini-kwa-miaka-kumi-na-mbili/
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)