3 – Kupangusa kichwa. Upangusaji unakuwa mara moja kuanzia mwanzoni mwa kichwa hadi mwishoni mwake, kisha anarudi pale alipoanzia. Nywele za mwanamke zilizozidi hazipanguswi, bali hutosha kupangusa hadi mwishoni mwa kichwa. Masikio yanapanguswa sambamba na upangusaji wa kichwa.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 16
  • Imechapishwa: 04/05/2026