Swali 14: Wahy ulianza vipi?
Jibu: Ulianza kama ndoto ya kweli. Akawa (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) haoni ndoto isipokuwa inakuja wazi kama pambazuko la asubuhi.
- Muhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 94
- Imechapishwa: 10/09/2023