14. Sababu ya kumi ya talaka ambayo ni kutoshibishwa zile hisia

10 – Kutoshibishwa na zile hisia za kimaumbile kutoka kwa wanandoa wote wawili au mmoja wao

Hili ni jambo linalotokea. Ni matatizo mangapi yanatokea katika mahakama zetu zikiwa katika hali hii ambapo mwanamke anaomba haki yake miongoni mwa haki zake za kitandani, kwa sababu pengine mume hawezi kumtimizia matakwa yake. Zipo talaka nyingi zinazotokea kwa hali kama hizi.

  • Mhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 29
  • Imechapishwa: 07/04/2024