14. Kubarikiwa kwenye riziki kwa ajili ya kuwaunga ndugu

30 – ´Abdullaah bin Swaalih ametuhadithia: al-Layth ametuhadithia, ´Uqayl amenihadithia, kutoka kwa Ibn Shihaab, kutoka kwa Anas, ambaye ameeleza kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Anayetaka kukunjuliwa riziki yake na kuishi maisha marefu, basi awaunge ndugu zake.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl al-Bukhaariy (a.f.k 256)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Birr-ul-Waalidayn, uk. 127
  • Imechapishwa: 05/01/2025