Mpaka hapa kwa himdi na mafanikio ya Allaah ndio mwisho wa kitabu “al-Mu´taqad as-Swahiyh al-Waajib ´alaa kulli Muslim I´tiqaaduh”. Ninamuomba Allaah (Ta´ala) akijaalie kiwe kimefanywa kwa ajili ya Uso Wake mtukufu, chenye kuafikiana na Sunnah za Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na awanufaishe nacho waislamu wote kwa jumla.
Swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, watu wa nyumbani kwake wasafi, Maswahabah zake bora na wale watakaowafuata kwa wema hadi siku ya Malipo.
- Muhusika: Shaykh ´Abdus-Salaam bin Barjas
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: al-Mu´taqad as-Swahiyh, uk. 100
- Imechapishwa: 22/06/2020
Mpaka hapa kwa himdi na mafanikio ya Allaah ndio mwisho wa kitabu “al-Mu´taqad as-Swahiyh al-Waajib ´alaa kulli Muslim I´tiqaaduh”. Ninamuomba Allaah (Ta´ala) akijaalie kiwe kimefanywa kwa ajili ya Uso Wake mtukufu, chenye kuafikiana na Sunnah za Mtume Muhammad (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) na awanufaishe nacho waislamu wote kwa jumla.
Swalah na salamu zimwendee Mtume wetu Muhammad, watu wa nyumbani kwake wasafi, Maswahabah zake bora na wale watakaowafuata kwa wema hadi siku ya Malipo.
Muhusika: Shaykh ´Abdus-Salaam bin Barjas
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: al-Mu´taqad as-Swahiyh, uk. 100
Imechapishwa: 22/06/2020
https://firqatunnajia.com/14-hitimisho-ya-kitabu/