Tunatambua haki ya waarabu na kutangulia kwao. Tunawapenda kutokana na maneno yake Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Kuwapenda waarabu ni imani, na kuwachukia ni unafiki.”[1]

Hatusemi kama wanavosema Shu´uubiyyah na watumwa wenye kudharauliwa ambao hawapendi waarabu na wala hawatambui ubora wao. Maoni yao ni uzushi na yanayoenda kinyume.

[1] at-Twabaraaniy katika “al-Mu´jam al-Awsatw” (2537). Dhaifu kwa mujibu wa al-Albaaniy katika “Dhwa´iyf-ul-Jaamiy´” (2683).

  • Mhusika: Imaam Harb bin Ismaa´iyl al-Kirmaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-us-Sunnah, uk. 72
  • Imechapishwa: 30/05/2022