69 – Muhammad bin Bashshaar ametukhabarisha, ´Abdur-Rahmaan ametukhabarisha: Sufyaan ametukhabarisha: kutoka kwa Abu Haashim, kutoka kwa Abu Mijliz, kutoka kwa Qays bin ´Abbaad, ambaye amesema:
”Nilimsikia Abu Dharr akiapa juu ya Aayah isemayo:
هَـٰذَانِ خَصْمَانِ اخْتَصَمُوا فِي رَبِّهِمْ
”Hawa ni wapinzani wawili wanabishana juu ya Mola wao.”[1]
kwamba imeteremshwa kuhusu ´Aliy, Hamzah, ´Ubaydah bin al-Haarith, Shaybah bin Rabiy´ah, ´Utbah bin Rabiy´ah na al-Waliyd bin ´Utbah. Walizozana siku ya Badr.”[2]
[1] 22:19
[2] al-Bukhaariy (3969).
- Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 65
- Imechapishwa: 08/09/2026
69 – Muhammad bin Bashshaar ametukhabarisha, ´Abdur-Rahmaan ametukhabarisha: Sufyaan ametukhabarisha: kutoka kwa Abu Haashim, kutoka kwa Abu Mijliz, kutoka kwa Qays bin ´Abbaad, ambaye amesema:
”Nilimsikia Abu Dharr akiapa juu ya Aayah isemayo:
هَـٰذَانِ خَصْمَانِ اخْتَصَمُوا فِي رَبِّهِمْ
”Hawa ni wapinzani wawili wanabishana juu ya Mola wao.”[1]
kwamba imeteremshwa kuhusu ´Aliy, Hamzah, ´Ubaydah bin al-Haarith, Shaybah bin Rabiy´ah, ´Utbah bin Rabiy´ah na al-Waliyd bin ´Utbah. Walizozana siku ya Badr.”[2]
[1] 22:19
[2] al-Bukhaariy (3969).
Muhusika: Imaam Ahmad bin Shu´ayb an-Nasaa’iy (afk. 303)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Fadhwaa-il-us-Swahaabah, uk. 65
Imechapishwa: 08/09/2026
https://firqatunnajia.com/14-fadhilah-za-hamzah-bin-abdil-muttwalib/