7 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza tena kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Zibadilisheni mvi na wala msijifananishe na mayahudi na manaswara.”[1]
[1] Ahmad (2/161 och 2/499) kupitia kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah. Cheni ya wapokezi ni nzuri. Ibn Hibbaan pia ameipokea katika ”as-Swahiyh” yake. Kupitia kwa ´Umar bin Abiy Salamah ameipokea Ahmad (2/356) na at-Tirmidhiy ambaye amesema:
”Hadiyth ni nzuri na Swahiyh.”
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 189
- Imechapishwa: 15/11/2023
7 – Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza tena kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
”Zibadilisheni mvi na wala msijifananishe na mayahudi na manaswara.”[1]
[1] Ahmad (2/161 och 2/499) kupitia kwa Muhammad bin ´Amr, kutoka kwa Abu Salamah, kutoka kwa Abu Hurayrah. Cheni ya wapokezi ni nzuri. Ibn Hibbaan pia ameipokea katika ”as-Swahiyh” yake. Kupitia kwa ´Umar bin Abiy Salamah ameipokea Ahmad (2/356) na at-Tirmidhiy ambaye amesema:
”Hadiyth ni nzuri na Swahiyh.”
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Jilbaab-ul-Mar-ah al-Muslimah, uk. 189
Imechapishwa: 15/11/2023
https://firqatunnajia.com/133-wailsamu-wanazibadilisha-mvi-zao/