13. Mwanamke aliyeachwa akafa anaoshwa na mume wake?

Swali 13: Mwanamke aliyeachwa akafa anaoshwa na mume wake[1]?

Jibu: Hapana vibaya ikiwa ni talaka rejea. Bi maana talaka moja au mbili.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/110).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 18
  • Imechapishwa: 12/12/2021