13. Mtume alikuwa na miaka mingapi alipokuwa Mtume na alitumwa kwa kina nani?

Swali 13: Alikuwa na umri gani (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alikuwa Mtume? Alitumwa kwa kina nani?

Jibu: Allaah (Ta´ala) alimtuma akiwa na miaka arobaini kwa walimwengu wote hali ya kuwa ni mwenye kutoa bishara njema na mwenye kuonya.

  • Mhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 94
  • Imechapishwa: 09/09/2023