Swali 13: Alikuwa na umri gani (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) wakati alikuwa Mtume? Alitumwa kwa kina nani?
Jibu: Allaah (Ta´ala) alimtuma akiwa na miaka arobaini kwa walimwengu wote hali ya kuwa ni mwenye kutoa bishara njema na mwenye kuonya.
- Muhusika: ´Allaamah Haafidhw bin Ahmad al-Hakamiy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Amaaliy fiys-Siyrah an-Nabawiyyah, uk. 94
- Imechapishwa: 09/09/2023