7 – Karraamiyyah. Ni wafuasi wa Muhammad bin Karaam ambaye alifariki mwaka wa 255 baada ya kuhajiri. Wanamili katika kushabihisha na ´Aqiydah ya Irjaa´. Wako mapote mengi.
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 163
- Imechapishwa: 21/02/2023