Miongoni mwa ambao Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amewashuhudilia Pepo ni al-Hasan na al-Husayn na Thaabit bin Qays. Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
“al-Hasan na al-Husayn ni viongozi wa vijana wa Peponi.”[1]
Ameipokea at-Tirmidhiy ambaye amesema:
“Ni nzuri na Swahiyh.”
Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kuhusu Thaabit bin Qays:
“Hakika wewe sio katika watu wa Motoni, lakini ni katika watu wa Peponi.”[2]
Ameipokea al-Bukhaariy.
[1] at-Tirmidhiy (3768) na Ahmad (3/166/167). Imaam at-Tirmidhiy (Rahimahu Allaah) amesema Hadiyth Hasan na Swahiyh.”
[2] al-Bukhaariy (3613) na Muslim (119, 187).
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Swaalih bin ´Uthaymiyn
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Ta´aliyq mukhtaswar ´alaa Lum´at-il-I´tiqaad, uk. 146-147
- Imechapishwa: 15/12/2022
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)