103. Athar ”Aliwaona wakimwelekea imamu… ”

105 – ´Amr bin Marzuuq ametuhadithia: Zuhayr ametuhadithia, kutoka kwa Ibn Ishaaq, ambaye ameeleza kwamba:

”Aliwaona wakimwelekea imamu. Lakini hawakuwa (يسعون)[1]; hakika hapana vyengine mambo yalivyo ni visa na kumswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”[2]

[1] Imekuja namna hii katika ile ya asili. Inawezekana, japo ni jambo la mbali sana, ilitakiwi iwe hawakuwa (يستنون), bi maana hawakuwa wakiswali Sunnah, kwa msemo mwingine swalah zinazopendeza.

[2] Cheni ya wapokezi ni Swahiyh. Zuhayr ni Ibn Mu´aawiyah. Abu Ishaaq as-Sabiy´iy jina lake ni ´Amr bin ´Abdillaah na alikuwa ni mwanafunzi wa Maswahabah. Udhahiri ni kwamba aliowaona wanakusudiwa Maswahabah.

  • Mhusika: 105 – ´Amr bin Marzuuq ametuhadithia: Zuhayr ametuhadithia, kutoka kwa Ibn Ishaaq, ambaye ameeleza kwamba: ”Aliwaona wakimwelekea imamu. Lakini hawakuwa (يسعون) ; hakika hapana vyengine mambo yalivyo ni visa na kumswalia Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).”
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fadhwl-us-Swalaah ´alaan-Nabiy, uk. 86
  • Imechapishwa: 20/02/2024
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy