Shaykh-ul-Islaam Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab (Rahimahu Allaah) amesema:

Hili litatambulika kwa kuijua misingi mitatu ambayo Allaah (Ta´ala) ameitaja katika Kitabu Chake:

MAELEZO

Misingi hiyo imechukuliwa kutoka ndani ya Qur-aan. Kupitia misingi hiyo anapambanuka muislamu kutokana na mshirikina.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah ar-Raajihiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh al-Qawaa´id al-Arba´ah, uk. 129
  • Imechapishwa: 04/03/2023