Wanazuoni katika hilo wana maono mbalimbali. Yaliyo mashuhuri zaidi katika hayo ni mawili unayoweza kuyapata katika madhehebu ya ash-Shaafi´iy:
1 – Ni wajibu kutawadha upya.
2 – Inamtosheleza kuosha miguu.
3 – Hakuna kinachomlazimu. Twahara yake ni sahihi ataswali nayo maadamu hajapata hadathi. an-Nawawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
”Maoni ya tatu ndio yenye nguvu zaidi.”
Maoni hayo yamechaguliwa na an-Nawawiy akienda kinyume na madhehebu yake pia. Akasema (Rahimahu Allaah):
”Maoni haya ameyapokea Ibn-ul-Mundhir kutoka kwa al-Hasan al-Baswriy, Qataadah na Sulaymaan bin Harb na akayachagua Ibn-ul-Mundhir mwenyewe. Nayo ndiyo yaliyochaguliwa yenye nguvu zaidi. Maswahiba zetu wamemnasibishia nayo pia Daawuud.”[1]
[1] al-Majmuu´ (1/527).
- Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Itmaam-un-Nush fiy Ahkaam-il-Mash, uk. 92
- Imechapishwa: 27/04/2026
Wanazuoni katika hilo wana maono mbalimbali. Yaliyo mashuhuri zaidi katika hayo ni mawili unayoweza kuyapata katika madhehebu ya ash-Shaafi´iy:
1 – Ni wajibu kutawadha upya.
2 – Inamtosheleza kuosha miguu.
3 – Hakuna kinachomlazimu. Twahara yake ni sahihi ataswali nayo maadamu hajapata hadathi. an-Nawawiy (Rahimahu Allaah) amesema:
”Maoni ya tatu ndio yenye nguvu zaidi.”
Maoni hayo yamechaguliwa na an-Nawawiy akienda kinyume na madhehebu yake pia. Akasema (Rahimahu Allaah):
”Maoni haya ameyapokea Ibn-ul-Mundhir kutoka kwa al-Hasan al-Baswriy, Qataadah na Sulaymaan bin Harb na akayachagua Ibn-ul-Mundhir mwenyewe. Nayo ndiyo yaliyochaguliwa yenye nguvu zaidi. Maswahiba zetu wamemnasibishia nayo pia Daawuud.”[1]
[1] al-Majmuu´ (1/527).
Muhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Itmaam-un-Nush fiy Ahkaam-il-Mash, uk. 92
Imechapishwa: 27/04/2026
https://firqatunnajia.com/10-je-wudhuu-unachenguka-kwa-kuisha-kwa-muda-wa-kupaka/