10. Hadiyth ”Wabora wenu ni wale ambao mabega yao… ”

24 – ´Abdullaah bin ´Umar (Radhiya Allaahu ´anhumaa) ameeleza ya kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Wabora wenu ni wale ambao mabega yao ni laini zaidi katika swalah…”[1]

25 – Ibn ´Abbaas (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kwamba Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Wabora wenu ni wale ambao mabega yao ni laini zaidi katika swalah.”[2]

[1] al-Bazzaar, Ibn Hibban na at-Twabaraaniy katika “al-Awsatw”. Shaykh al-Albaaniy amesema:

”Ni nzuri kupitia zingine.” (Swahiyh-ut-Targhiyb (504) ).

[2] Abu Daawuud (672). Shaykh al-Albaaniy amesema:

”Ni Swahiyh kupitia zingine.” (Swahiyh-ut-Targhiyb (1/333) ).

al-Albaaniy ameisahihisha pia katika “Swahiyh Abu Daawuud” (624).

  • Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ujuwb Taswiyat-is-Sufuuf
  • Imechapishwa: 03/02/2025