10. Allaah hamjaribu mja Wake kwa sababu ya kumwangamiza

Miongoni mwa mambo yenye kumliwaza aliyepewa msiba ni kuona kuwa kila msiba unaomjia unatoka kwa Allaah na kwamba Yeye ndiye ameukadiria na kuupanga na kwamba Yeye (Subhaanah) hakuukadiria ili amwangamize mja au kumuadhibu. Amempa mtihani ili kumjaribu subira na ridhaa yake na ili aone kama atamlaumu na kumuomba. Akihidiwa katika hilo basi maamrisho ya Allaah ndio yatatokea. Ikiwa hatohidiwa katika hilo, basi ni khasara ya wazi wazi.

  • Mhusika: Miongoni mwa mambo yenye kumliwaza aliyepewa msiba ni kuona kuwa kila msiba unaomjia unatoka kwa Allaah na kwamba Yeye ndiye ameukadiria na kuupanga na kwamba Yeye (Subhaanah) hakuukadiria ili amwangamize mja au kumuadhibu. Amempa mtihani ili kumjaribu subira na ridhaa yake na ili aone kama atamlaumu na kumuomba. Akihidiwa katika hilo basi maamrisho ya Allaah ndio yatatokea. Ikiwa hatohidiwa katika hilo, basi ni khasara ya wazi wazi.
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Tasliyatu Ahl-il-Maswaa-ib, uk. 21
  • Imechapishwa: 13/10/2016