Kuhusiana na tafsiri ya kundi la nne ambalo linazidhoofisha Hadiyth zote, sio maoni ya watu wanaozingatiwa. Kwa ajili hiyo yapuuzwe. Ni vijihoja tu vya Ahl-ul-Ahwaa´ wal-Bid´ah, kwa sababu elimu yao ni dhaifu na fahamu zao ni finyu. Kwa hivyo hawakupata kitu ambacho ni chepesi zaidi kwao zaidi ya kusema kuwa zote hizo zinagongana na hivyo wakazibatilisha zote.

  • Mhusika: Imaam Abu ´Ubayd al-Qaasim bin Sallaam
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Kitaab-ul-Iymaan, uk. 77-78
  • Imechapishwa: 04/07/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naawswir-ud-Diyn al-Albaaniy