Sharti ya saba ni kutamba kwa maji au kwa mawe kabla ya wudhuu´. Hili ni iwapo kinachotoka kupitia njia mbili ni mkojo au kinyesi. Ama upepo unaotoka kwa njia ya haja, hauhitaji kutamba kwa maji au kwa mawe. Kutamba kwa mawe kunamtosheleza mtu kutokana na kutamba kwa maji ikiwa kile kilichotoka hakikuzidi mahali pa kawaida. Iwapo kitazidi, basi kutahitaji vilevile kujisafisha kwa maji ili kuondoa najisi.
- Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Tarjama: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
- Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 10
- Imechapishwa: 30/04/2026
Sharti ya saba ni kutamba kwa maji au kwa mawe kabla ya wudhuu´. Hili ni iwapo kinachotoka kupitia njia mbili ni mkojo au kinyesi. Ama upepo unaotoka kwa njia ya haja, hauhitaji kutamba kwa maji au kwa mawe. Kutamba kwa mawe kunamtosheleza mtu kutokana na kutamba kwa maji ikiwa kile kilichotoka hakikuzidi mahali pa kawaida. Iwapo kitazidi, basi kutahitaji vilevile kujisafisha kwa maji ili kuondoa najisi.
Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Tarjama: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 10
Imechapishwa: 30/04/2026
https://firqatunnajia.com/08-sharti-ya-saba-ya-wudhuu-ni-kujisafisha-kwa-maji-au-mawe/