07. Sharti ya sita ya wudhuu´ ni kusitisha kile kinachobatilisha wudhuu´

Sharti ya sita ni kukoma kwa kisababishi cha kutia wudhuu´, kwa maana ya kwamba kusita kwa kile kinachobatilisha wudhuu´, nacho ni ile hali ya hadathi. Kwa hiyo mtu asubiri mpaka kile kinachotoka katika njia mbili kisimame kabisa. Kwa maana ya kwamba asianze kutawadha kabla kukoma.

  • Muhusika: ´Allaamah ´Abdul-Muhsin bin Hamad al-´Abbaad
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Shuruwt-is-Swalaah, uk. 10
  • Imechapishwa: 30/04/2026