18 – Qabiyswah bin ´Uqbah ametuhadithia: Sufyaan ametuhadithia, kutoka kwa Suhayl bin Abiy Swaalih, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Abu Hurayrah (Radhiya Allaahu ´anh), ambaye amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Mwana hawezi kuwalipa wazazi wake isipokuwa amkute ni mtumwa, akamnunua na kumwacha huru.”

  • Mhusika: Imaam Muhammad bin Ismaa´iyl al-Bukhaariy (a.f.k 256)
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Birr-ul-Waalidayn, uk. 117
  • Imechapishwa: 29/12/2024