7- Wanawafanyia uasi watawala kwa njia zote ziwezekanazo pasi na hata kuyapima matendo yao katika mizani ya Kishari´ah na kujali matokeo. Haya ndio matendo ya Khawaarij waliokemewa na Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa ukali na akahimiza kuwapiga vita na kuwaua pamoja na kubainisha ujira mkubwa wa kufanya hivo.[1]
[1] Imaam Swaalih al-Fawzaan amesema:
“Kijitabu hichi kilichoko mbele yetu kimeandikwa na ndugu yetu Shaykh Zayd bin Muhammad bin Haadiy al-Madkhaliy. Kinatahadharisha mifumo hii, kinabainisha athari zake mbaya na kinahimiza kushikamana barabara na mfumo wa Ahl-us-Sunnah wal-Jamaa´ah. Allaah amjaze kheri na anufaishe kwa nasaha na maelekezo yake.” (Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 7)
- Muhusika: ´Allaamah Zayd bin Muhammad al-Madkhaliy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Asbaab Istiqaamat-ish-Shabaab wa Bawaa´ith Inhiraafihim, uk. 19
- Imechapishwa: 25/03/2017
Mshirikishe mwenzako:
- Click to share on Telegram (Opens in new window)
- Click to share on WhatsApp (Opens in new window)
- Click to print (Opens in new window)
- Click to email a link to a friend (Opens in new window)
- Click to share on Facebook (Opens in new window)
- Click to share on Twitter (Opens in new window)
- Click to share on Pocket (Opens in new window)