Swali: Je, ni lazima kwa mzee ambaye amekwishapoteza fahamu na anasumbuliwa na kuganda kwa damu?

Jibu: Mzee aliyepoteza fahamu kwa sababu ya utuuzima na hahisi kitu si lazima kwake kufunga. Kwa sababu hawezi jambo hilo. Wala hatofungiwa wala kutolewa chakula.

  • Mhusika: ´Allaamah ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah Aalush-Shaykh
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Min Fataawaas-Swiyaam, uk. 18
  • Imechapishwa: 19/03/2022