Kwa kifupi ni kwamba kuthibitisha Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah ni jambo la maafikiano na shirki ndani yake ni kidogo. Lakini kuikubali yenyewe tu hakumtoshelezi mja na kumwingiza katika Uislamu. Bali ni lazima pamoja na hivyo kuleta kile kinachopelekea: Tawhuyd-ul-Ilaahiyyah.
Nyumati za kikafiri zilikuwa zikikubali Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah na khaswa washirikina wa kiarabu ambao Mtume wa mwisho (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitumilizwa kwao. Hilo halikuwafanya kuwa waislamu muda wa kwamba hawakufanyia kazi Tawhiyd-ul-Ilaahiyyah.
Mwenye kuzisoma Aayah za Qur-aan Tufukufu ataona kuwa ni zenye kumtaka mtu kuifanyia kazi Tawhiyd-ul-Ilaahiyyah na kuijulisha kwa Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah. Hivyo zinawalazimisha washirikini kwa yale waliyokataa na zinathibitisha juu yake kwa yale waliyothibitisha. Kwa msemo mwingine ni kwamba inawaamrisha Tawhiyd-ul-´Ibaadah na inawakhabarisha kule kukiri kwao Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah. Inataja Tawhiyd-ul-´Ibaadah katika mazingira ya kuwataka waifanyie kazi na Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah katika mazingira ya maelezo tu.
- Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Bayaan Haqiyqat-it-Tawhiyd, uk. 14
- Imechapishwa: 21/03/2019
Kwa kifupi ni kwamba kuthibitisha Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah ni jambo la maafikiano na shirki ndani yake ni kidogo. Lakini kuikubali yenyewe tu hakumtoshelezi mja na kumwingiza katika Uislamu. Bali ni lazima pamoja na hivyo kuleta kile kinachopelekea: Tawhuyd-ul-Ilaahiyyah.
Nyumati za kikafiri zilikuwa zikikubali Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah na khaswa washirikina wa kiarabu ambao Mtume wa mwisho (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) alitumilizwa kwao. Hilo halikuwafanya kuwa waislamu muda wa kwamba hawakufanyia kazi Tawhiyd-ul-Ilaahiyyah.
Mwenye kuzisoma Aayah za Qur-aan Tufukufu ataona kuwa ni zenye kumtaka mtu kuifanyia kazi Tawhiyd-ul-Ilaahiyyah na kuijulisha kwa Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah. Hivyo zinawalazimisha washirikini kwa yale waliyokataa na zinathibitisha juu yake kwa yale waliyothibitisha. Kwa msemo mwingine ni kwamba inawaamrisha Tawhiyd-ul-´Ibaadah na inawakhabarisha kule kukiri kwao Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah. Inataja Tawhiyd-ul-´Ibaadah katika mazingira ya kuwataka waifanyie kazi na Tawhiyd-ur-Rubuubiyyah katika mazingira ya maelezo tu.
Muhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Bayaan Haqiyqat-it-Tawhiyd, uk. 14
Imechapishwa: 21/03/2019
https://firqatunnajia.com/07-kuamini-tawhiyd-ur-rubuubiyyah-peke-yake-haitoshi/