Swali 07: Je, inafaa kumbusu maiti[1]?

Jibu: Hapana neno kumbusu maiti akishumiwa na mmoja katika Mahaarim zake katika wanawake au wanamme. Hivo ndivo alivofanya Abu Bakr as-Swiddiyq (Radhiya Allaahu ´anh) kwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam).

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/101-102).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 14
  • Imechapishwa: 11/12/2021