06. Anayetaka kukata roho anaelekezwa Qiblah vipi?

Swalli 06: Anayetaka kukata roho anaelekezwa Qiblah vipi[1]?

Jibu: Analazwa upande wake wa kulia na uso wake unaelekea Qiblah kama anavolazwa kwenye mwanandani.

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/101).

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 14
  • Imechapishwa: 11/12/2021