Swali 05: Ni jambo limewekwa katika Shari´ah kumwelekeza Qiblah anayetaka kukata roho[1]?

Jibu: Ndio, imependekezwa. Ni jambo limependekezwa kwa mtazamo wa wanachuoni. Amesema (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam):

“Ka´bah ni Qiblah chenu mliohai na wafu.”[2]

[1] Majmuu´-ul-Fataawaa (13/101).

[2] Abu Daawuud (2874) kwa tamko lisemalo:

”Nyumba Tukufu ni Ka´bah ni Qiblah chenu mliohai na wafu.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ahkaam-ul-Janaa-iz, uk. 13
  • Imechapishwa: 11/12/2021