171 – Ahmad, Abu Ya´laa, at-Twabaraaniy na al-Haakim wamepokea kupitia kwa Darraaj Abus-Samh, kutoka kwa as-Saa-ib ambaye amesema:
“Kikosi cha wanawake kiliingia kwa Umm Salamah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ambapo akasema: “Nyinyi ni kina nani?” Wakasema: “Tunatoka kwa watu wa Himsw.” Akasema: “Kwa wale watu walio na bafu za nje?” Wakasema: “Kwani zina neno?” Akasema: “Nimemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema: “Mwanamke yeyote atakayevua nguo zake katika nyumba isiyokuwa yake, basi Allaah ataivunja sitara kutoka kwake.”[1]
[1] Swahiyh kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/183)
- Imechapishwa: 05/04/2021
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
171 – Ahmad, Abu Ya´laa, at-Twabaraaniy na al-Haakim wamepokea kupitia kwa Darraaj Abus-Samh, kutoka kwa as-Saa-ib ambaye amesema:
“Kikosi cha wanawake kiliingia kwa Umm Salamah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ambapo akasema: “Nyinyi ni kina nani?” Wakasema: “Tunatoka kwa watu wa Himsw.” Akasema: “Kwa wale watu walio na bafu za nje?” Wakasema: “Kwani zina neno?” Akasema: “Nimemsikia Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) akisema: “Mwanamke yeyote atakayevua nguo zake katika nyumba isiyokuwa yake, basi Allaah ataivunja sitara kutoka kwake.”[1]
[1] Swahiyh kupitia zengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/183)
Imechapishwa: 05/04/2021
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/07-hadiyth-mwanamke-yeyote-atakayevua-nguo-zake/