Mlango
وَلَقَدْ عَهِدْنَا إِلَىٰ آدَمَ مِن قَبْلُ فَنَسِيَ وَلَمْ نَجِدْ لَهُ عَزْمًا
”Hakika Tulimuusia Aadam kabla, lakini akasahau; na wala Hatukuona kwake azimio.”
18 – Muhammad bin Muhammad ametukhabarisha: Ahmad bin ´Iswaam ametuhadithia: Abu Ahmad az-Zubayriy ametuhadithia: Mis´ar bin Kidaam ametuhadithia … (ح) ´Aliy bin al-´Abbaas al-Ghazziy ametukhabarisha: Muhammad bin Hammaad ametuhadithia: ´Abdur-Razzaaq ametuhadithia: ath-Thawriy ametuzindua, kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Muslim al-Batwiyn, kutoka kwa Sa´iyd bin Jubayr, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesema:
”Hakika mambo yalivyo ni kwamba mtu (الإنسان) ameitwa hivo kwa sababu aliusiwa ambapo akasahau (نَسِيَ).”
Namna hii ndivo ameipokea ath-Thawriy na Mis´ar kutoka kwa al-A´mash. Asbaatw bin Muhammad, ´Abdah bin Sulaymaan na wengineo wameipokea kutoka kwa al-A´mash, kutoka kwa Abuudh-Dhwuhaa, kutoka kwa Ibn ´Abbaas.
19 – Ishaaq bin Ibraahiym bin Haashim al-Adhra´iy ametukhabarisha: Haarun bin Kaamil ametuhadithia: ´Abdullaah bin Swaalih ametuhadithia: Mu´aawiyah bin Swaalih ametuhadithia: ´Aliy bin Abiy Twalhah ametuhadithia, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesema:
”Aadam aliusiwa hapo kabla, lakini akasahau; na wala Hatukuona kwake azimio.”
20 – Khaythamah bin Sulaymaan ametukhabarisha: Muhammad bin Sa´d al-´Awfiy ametuhadithia: Baba yangu ametuhadithia, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa baba yake, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):

”Hatukuona kwake kuhifadhi.”
21 – ´Umar bin ar-Rabiy´ bin Sulaymaan ametukhabarisha huko Misri: Bakr bin Sahl ametuhadithia: ´Abdul-Ghaniy bin Sa´iyd ametuhadithia: Muusa bin ´Abdir-Rahmaan ametuhadithia, kutoka kwa Ibn Jurayj, kutoka kwa ´Atwaa’, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, na pia vilevile Muqaatil kutoka kwa adh-Dhwahhaak, kutoka kwa Ibn ´Abbaas, ambaye amesema kuhusiana na maneno Yake (Ta´ala):

”Tulimuusia Aadam kwamba asiukaribie mti, lakini akasahau na kuacha ahadi Yangu, na wala hatukuona kwake azimio. Kwa maana ya kwamba subira ya kutokula kwenye mti.”
Hivyo pia ndivo alivosema Qataadah na as-Suddiy. al-Hasan na ´Ubaydah bin ´Umayr wamesema:
”Aadam hakuwa miongoni mwa wale Mitume wenye maazimio.”
22 – Abu ´Umar bin Mumill bin Ahmad bin Muhammad bin Ibraahiym bin Hakiym al-Madiyniy ametukhabarisha: Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab bin Abiy Tammaam al-´Asqalaaniy ametukhabarisha: Aadam bin Abiy Iyaas ametuhadithia: Faraj bin Fadhwaalah ametuhadithia, kutoka kwa Luqmaan bin ´Aamir, kutoka kwa Abu Umaamah al-Baahiliy, ambaye amesema:
”Lau kama akili ya walimwengu wote ingekusanywa na kuwekwa kwenye sahani moja ya mzani na akili ya Aadam ikawekwa kwenye sahani jengine, basi akili ya Aadam ingeshinda uzito akili yao. Allaah (´Azza wa Jall) amesema:
وَلَمْ نَجِدْ لَهُ عَزْمًا
”… na wala Hatukuona kwake azimio.”
- Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 42
- Imechapishwa: 09/06/2026
- Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy

Muhusika: Imaam Muhammad bin Ishaaq bin Mandah (afk. 395)
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: ar-Radd ´alaal-Jahmiyyah, uk. 42
Imechapishwa: 09/06/2026
Taaliki: ´Allaamah ´Aliy bin Naaswir al-Faqiyhiy
https://firqatunnajia.com/07-aadam-alisahau/