06. Ni wajibu kwa mfungaji kula daku?

Swali 06: Je, ni wajibu kwa mfungaji kula daku?

Jibu: Sio wajibu. Imependekezwa kwa sababu kunaufanya mwili kuwa na nguvu[1].

[1] Tazama Fath-ur-Rabb al-Waduud” (1/250).

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 21-22
  • Imechapishwa: 12/06/2017