07. Inafaa kwa mgonjwa kuacha kufunga ikiwa swawm sio nzito kwake wala haimdhuru?

Swali 07: Je, inafaa kwa mgonjwa kuacha kufunga ikiwa swawm sio ngumu kwake wala haimdhuru?

Jibu: Mgonjwa anatakiwa kufunga ikiwa swawm sio ngumu kwake na wala haimuathiri.

  • Mhusika: ´Allaamah Ahmad bin Yahyaa an-Najmiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Fataawaas-Swiyaam, uk. 23
  • Imechapishwa: 12/06/2017