729- Usaamah (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kwamba Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

“Yule mwenye kuacha ijumaa tatu pasi na udhuru, basi huandikwa miongoni mwa wanafiki.”[1]

Ameipokea at-Twabaraaniy katika ”al-Kabiyr” kupitia kwa Jaabir al-Ju´fiy. Kuna njia zengine zinazoitia nguvu.

[1] Swahiyh kupitia zengine.

  • Mhusika: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/451)
  • Imechapishwa: 26/04/2020
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy