274 – Imepokelewa kwamba ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
مَن بنى مسجداً لا يريدُ به رِياءً ولا سمعةً؛ بنى الله له بيتاً في الجنّةِ
“Yeyote atakayejenga msikiti si kwa ajili ya kutaka kuonekana au kusikika, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Awsatw”.
[1] Nzuri kupitia zengine.
- Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
- Tarjama: Firqatunnajia.com
- Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/228)
- Imechapishwa: 09/03/2022
- Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
274 – Imepokelewa kwamba ´Aaishah (Radhiya Allaahu ´anhaa) ameeleza kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:
مَن بنى مسجداً لا يريدُ به رِياءً ولا سمعةً؛ بنى الله له بيتاً في الجنّةِ
“Yeyote atakayejenga msikiti si kwa ajili ya kutaka kuonekana au kusikika, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi.”[1]
Ameipokea at-Twabaraaniy katika ”al-Mu´jam al-Awsatw”.
[1] Nzuri kupitia zengine.
Muhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
Tarjama: Firqatunnajia.com
Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/228)
Imechapishwa: 09/03/2022
Taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy
https://firqatunnajia.com/06-hadiyth-yeyote-atakayejenga-msikiti-si-kwa-ajili-ya-kutaka-kuonekana-au-kusikika/