05. Hadiyth “Yeyote atakayejenga msikiti kwa ajili ya Allaah… “

273 – ´Abdullaah bin ´Amr (Radhiya Allaahu ´anhumaa) amesimulia kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

من بنى لله مسجداً؛ بنى الله له بيتاً في الجنة أوسَع منه

“Yeyote atakayejenga msikiti kwa ajili ya Allaah, basi Allaah atamjengea nyumba Peponi ambayo ni pana zaidi kuliko hiyo.”

Ameipokea Ahmad kwa cheni ya wapokezi laini.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/228)
  • Imechapishwa: 09/03/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy