Anataka kuzikwa Pakistan

Swali: Tunaishi Uingereza na mama yetu ambaye ni mgonjwa sana na madaktari wamesema kuwa hayuko mbali na kufa. Mama anatuomba akifa basi tumzike Pakistan na tumsafirishe huko. Je, ni lazima kwetu kumtii na kufanya hivo ni katika kuwatendea wema wazazi?

Jibu: Ikiwa ni rahisi kwenu, basi tekelezeni wasia wake. Lakini ikiwa ni vigumu kwenu kufanya hivo, mzikeni pamoja na waislamu mahali popote

  • Mhusika: Imaam Swaalih bin Fawzaan al-Fawzaan
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Sharh Ighaathat-il-Lahfaan (67)
  • Imechapishwa: 10/03/2022