06. Hadiyth “Swalah ya mwanamke katika pembe yake ni bora kuliko… “

345 – ´Abdullaah bin Mas´uud (Radhiya Allaahu ´anh) amesimulia kuwa Mtume (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

صلاة المرأة في بيتها أفضلُ من صلاتِها في حُجرتها، وصلاتها في مِخْدعِها، أفضل من صلاتها في بيتها

“Swalah ya mwanamke katika pembe yake ni bora kuliko swalah yake katika chumba chake, na swalah yake katika chumba chake kidogo ni bora kuliko swalah yake katika pembe yake.”[1]

Ameipokea Abu Daawuud na Ibn Khuzaymah katika “as-Swahiyh” yake.

[1] Swahiyh.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/260)
  • Imechapishwa: 21/12/2023
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy