Nguo inayotokana na ngozi ya nguruwe

Swali: Vipi mtu akivaa nguo ambayo imetengenezwa kwa ngozi ya nguruwe?

Ibn Baaz: Kwa ngozi ya nguruwe?

Muulizaji: Haitakiwi kuivaa, ijapo baadhi ya wanazuoni wanaona kuwa inafaa inaposafishwa vizuri kwa kunyambuliwa. Hata hivyo bora ni kuacha kufanya hivo.

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: https://binbaz.org.sa/fatwas/23293/حكم-لبس-ثياب-من-جلد-الخنزير
  • Imechapishwa: 21/12/2023