06. Hadiyth “Muadhini anasamehewa kwa umbali inapofikia sauti yake na analipwa ujira… “

236 – at-Twabaraaniy ameipokea kupitia kwa Abu Umaamah kutoka kwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) kwa tamko lifuatalo:

المؤذِّن يُغفرُ لهُ مدَّ صوته، وأجرُه مثلُ أجر من صلّى معه

“Muadhini anasamehewa kwa umbali inapofikia sauti yake na analipwa ujira mfano wa yule atakayeswali pamoja naye.”

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Adhwiym bin ´Abdil-Qawiy al-Mundhiriy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Swahiyh-ut-Targhiyb wat-Tarhiyb (1/215)
  • Imechapishwa: 23/02/2022
  • taaliki: Imaam Muhammad Naaswir-ud-Diyn al-Albaaniy