06. Hadiyth ”Kamilisheni safu za mbele, kisha ile inayofuata… ”

19 – Anas bin Maalik (Radhiya Allaahu ´anh) ameeleza ya kuwa Mtume wa Allaah (Swalla Allaahu ´alayhi wa sallam) amesema:

”Kamilisheni safu za mbele, kisha ile inayofuata. Na kile kilichopungua basi kiwe katika safu za nyuma.”[1]

[1] Abu Daawuud  (671) na an-Nasaa’iy (817) kutoka “Swahiyh-us-Sunan.”

Ni Swahiyh kwa mujibu wa Muqbil al-Waadi’iy katika kitabu chake “al-Jamiy’-us-Swahiyh” (2/91) na al-Abaaniy katika “Swahiyh Sunan Abiy Daawuud” (623) na katika “Ta´liyqaat al-Hisaan ´alaa Swahiyh Ibn Hibbaan” (4/44) nr. (2152).

  • Muhusika: ´Allaamah Muhammad bin ´Abdil-Wahhaab al-Wasswaabiy
  • Tarjama: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: Ujuwb Taswiyat-is-Sufuuf
  • Imechapishwa: 22/01/2025