Maneno kuhusu kulingania kwa Allaah (´Azza wa Jall) yanafupishwa katika mambo yafuatayo:

1 – Hukumu na fadhilah zake.

2 – Namna ya kuifanya na njia zake.

3 – Kubainisha jambo linalolinganiwa kwalo.

4 – Kubainisha tabia na sifa ambazo walinganizi wanatakiwa kujipamba nazo na kupita juu yake.

Tunasema na msaada ni wenye kuombwa kwa Allaahna Mwenye kuwawafikisha waja Wake (Subhaanahu wa Ta´ala):

  • Mhusika: Imaam ´Abdul-´Aziyz bin ´Abdillaah bin Baaz
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: ad-Da´wah ilaa Allaah wa Akhlaaq-id-Du´aah, uk. 13
  • Imechapishwa: 31/05/2023