Miongoni mwa sababu muhimu zaidi za talaka ni zifuatazo:

1 – Udhaifu wa dini

Udhaifu wa msukumo wa dini kwa wanandoa au mmoja wao. Hilo ni kwa njia ya kwamba hahifadhi swalah, hamchi Allaah (Subhaanahu wa Ta´ala) katika yale anayoyafanya, hatekelezi haki ya Allaah wala haki ya mke wake. Ni mamoja anayefanya hivo akawa ni mwanaume au mwanamke.

  • Mhusika: Shaykh Jamaal bin Furahyaan al-Haarithiy
  • Mfasiri: Firqatunnajia.com
  • Marejeo: at-Twalaaq – asbaabuhu wa ´ilaajuh, uk. 20
  • Imechapishwa: 29/03/2024